Join Our Groups
TOPIC 1: NGELI ZA MANENO
Upatanishi wa Kisarufi
katika Sentensi
Ngeli
ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika
kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.
Mfano:
1. Maji yakimwagika hayazoleki
2. Mayai yaliyooza yananuka sana
3. Yai lililooza linanuka sana
4. Maji
liliomwagika halizoleki
Katika
mifano hii tunaona kwamba sentensi a, b na c ziko sahihi wakati sentensi d sio
sahihi, hii ni kwa sababu imekiuka upatanisho wa kisarufi. Kwa maana hiyo
sentensi ‘a’ ipo katika ngeli ya YA-YA na senthensi b na c zipo katika ngeli ya
LI-YA. Sentesi d sio sahihi kwa sababu nomino maji haina wingi, kwa hiyo
haiwezi kuingia katika ngeli ya LI-YA. Kwa msingi huu ngeli za nomino
huzingatia sana upatanisho wa kisarufi.
Jedwali lifuatalo
huonesha ngeli za nomino kwa misingi ya upatanisho wa kisarufi.
1.
Hutumika kupanga majina ya lugha katika makundi yaliyoshikamana na kutofungamana
kutokana na kigezo muhimu.
2.
Hutumika kutambulisha maumbo ya umoja na wingi katika majina na vivumishi.
3.
Hutumika katika upatanishi wa kisarufi katika sentensi.
4.
Hutumika katika kuonyesha uhusiano uliopo baina ya lugha za Kiswahili na lugha
zingine.
Habari zenye
Upatanishi wa Kisarufi
Baadhi
ya matumizi ya ngeli ni pamoja na haya yafuatayo:
1.
Hutumika kupanga majina ya lugha katika makundi yaliyoshikamana na
kutofungamana kutokana na kigezo muhimu.
2.
Hutumika kutambulisha maumbo ya umoja na wingi katika majina na vivumishi.
3.
Hutumika katika upatanishi wa kisarufi katika sentensi.
4.
Hutumika katika kuonyesha uhusiano uliopo baina ya lugha za Kiswahili na lugha
zingine.
Vizuri
ReplyDeleteNgoswe penzi kitovu cha uzembe
DeleteVery fantastic has to be encouraged to educate young people for better generation.��
ReplyDelete