TOPIC
5: UTUNGAJI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI
ziwe katika mwonekanao huo wa kisanaa. Fasihi andishi hutumia lugha na wala sio
lugha tu bali lugha ya kisanaa, kama tulivyokwishaona katika mada
zilizotangulia kwamba lugha ni kipengele muhimu sana katika fasihi. Ili kazi ya
kifasihi ya msanii husika iwe nzuri na ya kuvutia, masanii hana budi kuwa na
ubunifu wa hali ya juu katika kutumia lugha.
ujumi lakini pia yakiwa yamebeba ujumbe unaoigusa hadhira yake. Kwa maana hii
mwandshi wa kazi za kifasihi, iwe riwaya au tamthilia ni lazima azingatie sana
lugha, kwani lugha ndio nyenzo kuu ya usanaa wa fasihi kwa ujumla.
hizo ni kama zifuatazo:
1. Kuwa na kisa/wazo unalotaka kuliandikia
Katika jamii kuna mambo mengi sana yanayotendeka, msanii anaweza kupata
wazo la kiubunifu kutokana na mambo hayo yanayotendeka katika jamii. Kama
tujuavyo fasihi andishi kazi yake ni kuonesha yale yanayotendeka katika jamii,
kwa hiyo msanii anaweza kutumia fursa hiyo ili kuweka wazi mambo yanayoendelea
katika jamii.
ufisadi, umasikini, mapenzi, ndoa, maisha yake mwenyewe, ushirikina, jambo
lolote analoliamini katika maisha (falsafa yake). Kwa hiyo hatua ya kwanza kwa
msanii kabala ya kuandika ni kuelewa vizuri jambo analotaka kuandikia. Pia
katika hatua hii msanii anaweza kubuni jina la hadithi yake, pia hii inaweza
kumsaidia katika upangaji wa visa na matukio ya hadithi yake.
2. Kuchagua umbo la kazi ya fasihi
Msanii akishapata wazo la kuandika, sasa inambidi achague jinsi
atakavyoliwasilisha wazo lake hilo. Yaani anaweza kuchagua endapo aandike
hadithi fupi, riwaya au tamthiliya, au ushairi au utenzi. Sasa uchaguzi wa umbo
la kazi ya fasihi unategemeana na uwezo wa msanii katika tanzu hizo, kuna
mwingine anapenda tamthiliya lakini kuandika riwaya hawezi, kuna mwingine
anaona kuandika ushairi ni rahisi na kuna mwingine hawezi. Kwa hiyo ubunifu wa
msanii utadhihirika katika utanzu ule anaoumudu vizuri zaidi.
3. Kubaini hadhira
Mwandishi
kujua yule anayemwandikia ni suala la msingi sana. Hadhira ipo ya watu wa aina
mbalimbali, watoto, watu wazima, wasomi, wenye elimu ndogo, wakulima, wanasiasa
n.k. Sasa mwandishi akishabaini hadhira anayoindikia itamsaidia kuteua lugha ya
kuandikia, kwa mfano kama ni watoto, hatutegemei mwandishi kutumia lugha ngumu,
misemo na nahau nyingi.
4. Kubuni wahusika na mandhari
Mwandshi baada ya kujua kazi yake inahusu nini sasa inambidi abuni
wahusika wa hadithi yake. Wahusika wanaweza kuwa ni watu, wanyama, mimea,
mazimwi, malaika n.k. Pia ni lazima abaini mazingira ambamo visa vyote vya
hadithi na matukio yatakapofanyika. Mandhari yanaweza kuwa baharini, kijijini,
mjini, mbinguni, kuzimu n.k
5. Kupanga msuko wa visa na matukio
Msuko wa visa na matukio ni muhimu sana katika usimulizi wa hadithi. Sasa
kama mwandishi amaeamua kuwasilisha kazi yake kwa njia ama ya hadithi fupi au
riwaya au tamthiliya ni vema ajue namna visa na matukio vitakavyopangwa. Katika
kufanya hivi maswali yafuatayo ni muongozo mzuri katika kupangilia ploti:
Hadithi yangu itaanzaje? Mgogoro utaanzaje? Ni kati ya nani na nani? Je, kilele
cha mgogoro ni nini? Je, ni mhusika mkuu kubakwa na kuambukizwa VVU? Hadithi
yangu inaishaje? Je mhusika mkuu ashindwe? Atorokee nje ya nchi? Afungwe?
Abadilike Au maadui ndio wafungwe au wafe? Au wabadilike?
6. Kuanza kuandika
Sasa baada
ya kupitia hatua hizo zote, mwandishi sasa anaweza kuanza kuandika. Mchakato wa
kuandika hua ni mrefu na mwandishi anaweza kujikuta anafuta mara nyingi kile
alichokiandika, hii ni kutokana na kwamba mambo mengi ya kuandika huwa yanakuja
wakati mwandishi ameanza kuandika kazi husika. Hata hvyo sio vibaya kufanya
hivi, hii pia inasaidi kuwa na zao bora la fasihi.
UTUNGAJI WA HADITHI
wahusika wengi, matukio mengi na mandhari mapana (inategemena na aina ya
hadithi, iwapo ni hadithi fupi wahusika wake huwa ni wachache na pia matukio ni
machache, mandhari yake pia ni finyu). Kuna aina zifuatazo za hadithi kulingana
na kigezo cha urefu au maudhui. Kwa kigezo cha urefu kuna Hadithi Fupi na Riwaya. Kutokana
na maudhui kuna Riwaya Dhati na Riwaya Pendwa.
uonevu wa tabaka la chini, rushwa, uongozi mbovu n.k
wake uliojaa taharuki na fantasia. Mambo yanayosimuliwa katika riwaya hizi ni
yale yanayogusa hisia za watu kwa urahisi kama vile mapenzi, mauaji, ujasusi
n.k.
kazi yake. Mikondo ya utunzi wa hadithi ni pamoja na hii ifuatayo:
riwaya ambayo inasimulia maisha ya mtu toka alipozaliwa hadi wakati huo.
binafsi yaani mwandishi mwenyewe. Kwa mfano riwaya ya “maisha yangu baada ya
Miaka hamsini”. (S.Robert)
yaliyotokea. Kwa mfano riwaya ya “Uhuru wa Watumwa”
ujambazi, wizi, rushwa, mauaji n.k.
mapenzi.
utungaji wake mambo yafuatayo ni sharti yazingatiwe:
ambaye anajitokeza sana kuliko wahusika wengine.
wahusika wa kwenye riwaya.
katika riwaya
tu ambayo inaonekana toka mwanzo hadi mwisho wa hadithi.
ambapo wahusika huzungumza na kutenda vitendo mbalimbali. Tamthiliya huigiza
maisha ya kila siku.
maelezo ya jukwaani, maelezo yanayoonesha nini kifanywe na nani na kwa namna
gani. Tamthilya hugawanywa katika maonyesho kama ambavyo riwaya inavyogawanywa
katika sura.
tamthiliya ambapo mhusika mkuu/shujaa anapata anguko kubwa au kifo ambacho
huwafanya hadhira kuwa na huzuni.
kufundisha kwa njia ya kuchekesha ili kuleta ujumbe mzito.
ya kutia chumvi mambo, kudhihaki na kukejeli.
Kutunga Tamthiliya
kama yafuatayo:
utakavyokuwa
kukiandika
vyako
kinachotendeka kwa wakati ule. Maelezo ya jukwaa huwa katika maandishi ya
italiki.